TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Ali Khamenei leo asubuhi ameongoza Swala ya maiti ya marhumu ya Ayatullah Mahmoud Hashemi Shahroudi, aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran.
Habari ID: 3471787 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/26
Ayatullah Sayyid Mahmoud Hashemi Shahroudi, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Iran ameaga dunia baada ya umri uliojaa baraka.
Habari ID: 3471785 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/25